Habari kuhusu Haki za Binadamu kutoka Aprili, 2015
28 Aprili 2015
VIDEO: Dunia Inasema #WanabloguZone9WaachiweHuru

Global Voices inakumbuka mwaka mmoja tangu kuwekwa kizuizini kwa wanablogu wa Ethiopia wa Zone9 kwa kutengeneza video hii ya kuwaunga mkono. Sema pamoja nasi: #WanabloguZone9WaachiweHuru!
20 Aprili 2015
GVFace: Kuvunja Ukimya wa Pakistani Kuhusu Mapigano Yanayoendelea Jimbo la Balochistani

Mijadala wa wazi kuhusu vita vinavyoendelea kwenye jimbo la Balochistani ni nadra. Wanaotetea umoja wa nchi hiyo wanadhani kimya kuhusu jimbo Balochistan ni wajibu wao...
19 Aprili 2015
Muswada wa Uhalifu wa Mtandaoni Unawapa Mamlaka Zaidi Polisi, Kuliko Wananchi

Wapinzani wakuu wa muswada huo kutoka kwenye asasi za kiraia wanasema wataipeleka serikali mahakamani kama rais ataidhinisha muswada huo kuwa sheria.
18 Aprili 2015
‘Msanii wa Uke’ Nchini Japani Akana Mashitaka ya Ukiukaji wa Maadili
Msanii wa Kijapani Megumi Igarashi, anayeitwa kwa jina la utani "Msanii wa uke" na vyombo vya habari vya Magharibi, anasema sanaa yake inayotokana na sehemu...
17 Aprili 2015
Afrika Kusini Imejitenga na Waafrika Wengine?
Mashambulizi ya hivi karibuni huko Afrika Kusini yanahusisha wahamiaji kupigwa, kuuawa, kuchomwa moto, wizi madukani pamoja na wizi wa mali zao. Watu watano wameshauawa, miongoni...