Habari kuhusu Haki za Binadamu kutoka Machi, 2017
Katika Kutafuta Haki, Mtumishi Huyu wa Kanisa Katoliki Ameandika Nyaraka Kuhusu Mauaji na Dawa za Kulevya Nchini Ufilipino
"Kama mwandishi mpiga picha, lazima uwe karibu na masikini, uelewe uhalisia wa maisha yao."
Kilicho cha Zamani ni Kipya: Unasikiliza? Matangazo ya Sauti
Katika matangazo haya ya sauti, tunakupeleka hadi Jamaica, Indonesia, Syria, Macedonia na Ethiopia kwa simulizi za kumbukumbu, ufufuaji na uzima mpya