Habari kuhusu Haki za Binadamu kutoka Machi, 2016
Wa-Cuba Watafakari Ziara ya Obama Jijini Havana
Wakati mjadala wa masuala ya haki za binadamu, biashara, na michezo ukiendelea, wa-Cuba kisiwani humo (angalu wale wenye mtandao wa intaneti) wanawakosoa vikali viongozi hao
Mwanaharakati wa Haki za Binadamu na Kiongozi wa Jamii za Wazawa Berta Cáceres Auawa nchini Honduras
Baada ya miaka kadhaa ya uanaharakati wa masuala ya mazingira na kuzitetea jamii za wazawa, mtetezi nguli wa haki za binadamu Berta Caceres ameuawa nchini Honduras hii leo.
Wachoraji Wazindua Kampeni ya Mtandaoni Kushinikiza Uhuru wa Vyombo vya Habari nchini Malaysia

"Tunaona kuwa muda umewadia kwa raia wa Malasia kudai uhuru wa vyombo vya habari na utumiaji wa mtandao wa intaneti kufuatia matukio ya kukandamiza uhuru wa vyombo vya habari nchini Malasia"