Habari kuhusu Haki za Binadamu kutoka Juni, 2014
Umuhimu wa Haki kwa Wanablogu wa Ethiopia
Justice Matters ni blogu inayoripoti kuhusu kesi ya wanablogu wa Zone9 waliokamatwa na waandishi wa habari nchini Ethiopia kwa ajili ya kutoa maoni yao: Blogu hii ina habari zaidi za...
Ni Rasmi Sasa, ‘Shoga’ wa Kwanza Kuteuliwa Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu Nchini Puerto Rico
Wakati wengine wakina kuwa usagaji wake si suala la maana, wengine wanasisitiza kuwa hali hiyo ya kimapenzi inahusika katika kile anachokifanya kila siku.
Maandamano ya Kudai Haki ya Kubusu na Barua ya Haki za Mashoga Nchini Cuba
Maandamano ya pili ya Kubusiana ili kutetea Tofauti na Usawa yamefanyika Jijini Havana mwaka huu wakati ambao Mashoga kipindi chenye changamoto kwa Mashoga katika kisiwa hicho.
Mapigano Dhidi ya Waislamu Yaendelea Nchini Sri Lanka
Yametimu majuma mawili tangu ghasia dhidi ya Waislamu kwenye majiji ya pwani nchini Sri Lank- Aluthgama na Beruwala. Ingawa hali imetulia baada ya kulaaniwa sana kila sehemu, bado ghasia hizo...
Simulizi la Kusikitisha la Ibrahim na Djouma wa Jamhuri ya Afrika ya Kati
Djouma na Amadou Moussa ni wazazi wa Ibrahim. Djouma na Ibahim ni wahanga wa shambulizi la kikatili lililofanywa na wanamgambo waaasi, tukio lililokatisha maisha ya ndugu watano wa damu katika Jamhuri...
Baada ya Waziri wa India Kusema ‘Wakati Mwingine Ubakaji Unakubalika’, Kampeni ya #MenAgainstRape Yavuma Nchini Pakistani
Mamia wa vijana wa kiume kutoka Pakistani wameingia mtandaoni wakifanya kampeni ya kupinga ubakaji
Twiti za Moja kwa Moja za Kesi Dhidi ya Mwanasheria wa Haki za Binadamu na Mwandishi wa Habari Nchini Swaziland
MISA-Swaziland anatwiti moja kwa moja mwenendo wa mashitaka dhidi ya mwanasheria wa haki za binadamuThulani Maseko na mwandishi wa habari Bheki Makhubu bila ruhusa ya mahakama nchini Swaziland. Wawili hao...