Habari kuhusu Haki za Binadamu kutoka Machi, 2013
Wa-Mauritania Wapinga Udhalilishaji wa Viwanja vya Tahrir Square
Siku ya Jumanne Februari 12, 2013, kikundi cha wanaharakati wa ki-Mauritania kiliandaa [ar] maandamano mbele ya Ubalozi wa Misri jijini Nouakchott, mji mkuu wa Mauritania, kupinga udhalilishaji wa kijinsia na ubakaji...