Habari kuhusu Haki za Binadamu kutoka Septemba, 2014
Waandamanaji Wanaodai Demokrasia Wageuza Hong Kong Kuwa Bahari ya Miamvuli
Yakiwa yamepewa jina la utani la "mapinduzi ya miamvuli" na baadhi ya vyombo vya habari, maandamano ya Hong Kong yatawaliwa na waandamanaji wanaojikinga na mabomu ya kutoa machozi kwa kutumia miamvuli.
Huduma za Afya nchini Madagaska Zinaweza Kukabiliana na Mlipuko wa Ebola?
Nchi kumi na tano za Afrika ikiwemo Madagaska ziko kwenye hatari zaidi ya maambukizi ya Ebola kwa sababu zina mazingira yanayofanana na yale ya nchi zilizoathirika. Waziri Mkuu anasema Madagaska imejiandaa lakini wengine wana wasiwasi
Vyombo vya Habari Vyaususia Wimbo wa Kupigania Uhuru Ulioimbwa na Msanii Maarufu Nchini Macedonia
Msanii maarufu wa Macedonia wa miondoko ya kufoka foka amejikuta akipoteza umaarufu baada ya kuachia ‘kibao’ kinachojadili masuala ya uhuru wa habari nchini Macedonia.
Uhuru wa Vyombo vya Habari nchini Liberia Wawekwa Shakani Kufuatia Vita Dhidi ya Ebola
Umoja wa wanahabari wa Liberia wasikitishwa na hali ya kukosekana kwa uhuru wa upashanaji habari kufuatia hatua ya serikali ya kuzuia kuenea kwa virusi vya ebola. Umoja huu ulimwandikia barua...
Jinsi Wanablogu Walifikia Gerezani kwa Kuandika Kuhusu Haki za Binadamu Nchini Ethiopia
Melody Sundberg anachambua uhuru wa kujieleza nchini Ethiopia baada ya wanablogu wa Ethiopia waliokamatwa kukaa siku 100 gerezani: Ethiopia ina idadi ya watu 94,000,000 na ni nchi ya pili yenye...
Video Ioneshayo Mtoto Akiokolewa Kutoka Kwenye Kifusi cha Jengo Lililolipuliwa kwa Bomu Nchini Syria
Bomu lililaharibu makazi ya Ghina na kupelekea kifo cha mama yake. Aliweza kuokolewa akiwa hai pamoja na kufukiwa na kifusi akiwa peke yake.