Habari kuhusu Haki za Binadamu kutoka Februari, 2016
29 Februari 2016
Mtumiaji wa Twita Nchini Saudi Arabia Ahukumiwa Kifungo cha Miaka 10 na Viboko 2,000 kwa Kosa la “Kukufuru Dini”

Saudi Arabia imemhukumu mtumiaji wa mtandao wa Twita kifungo cha miaka 10 jela pamoja na viboko 2,000 kwa kosa la kuandika twi 600 "zinazoeneza imani...
23 Februari 2016
Magazeti Nchini Iran Yabaini Udhalilishaji na Unyanyasaji wa Wanafunzi wa Afghanistan
“Hakuna matamko rasmi ya serikali yanayokemea uonevu dhidi ya wanafunzi wa Afghanistani. Tatizo ni mtazamo walionao wanajamii.”
18 Februari 2016
Uandishi wa Habari ni Kosa la Jinai Nchini Bahrain
Mwandishi wa habari wa Marekani, Anna Therese Day pamoja na wenzake walishikiliwa nchini Bahrain, na kisha kurudishwa nchini mwao wakati wa kumbukumbu ya miaka mitano...