Habari kuhusu Haki za Binadamu kutoka Oktoba, 2013
Maadhimisho ya Miaka 30 ya Maandamano ya Usawa ya Wafaransa
Miaka 30 iliyopita (Oktoba 15, 1983), a maandamano ya usawa dhidi ya ubaguzi wa rangi [fr] yalianzia Marseille na watu 32, wengi wao wakiwa wenye asili ya Kiarabu, kwa kuomba haki ya kupiga...
Jieleze:Siku ya Blogu kwa Haki za Raia!
Octoba 16 ni Siku ya Blogu. Jiunge na wanablogu duniani kote kuzungumzia mada ya mwaka huu: Haki za Binadamu.
Nani ni Muislamu Halisi? -Hatari ya Madhehebu Madogo ya Waislamu Pakistan
Raza Habib Raja wa Pak Tea House ana maoni haya: ‘Kosa’ kubwa nchini Pakistani ni kuwa kile ninachokiita, Muislamu asiye Muislamu. Kwa hiyo hata ukiwa Ahmedi, Shiite, na hata muumini...
Gambia Yajitoa Jumuiya ya Madola, Yaiita Jumuiya Hiyo ‘Ukoloni Mambo-Leo’
"Gambia haitakuwa mwanachama wa taasisi yoyote ya ukoloni mambo-leo," nchi hiyo ya Afrika Magharibi ilitangaza katika tamko lake la wiki hii.
Rafiki Yangu Anateswa kwa Ku-blogu

Safy ni mtu wa kawaida aliyewahi kufanya kazi kama afisa wa Teknohama mpaka aliposhuhudia rafiki yake akipigwa risasi na polisi wa kutuliza ghasia wakati wa majuma ya mwanzo ya mapinduzi. Hakuweza kuendelea kuwa "mtu wa kawaida" baada ya tukio hilo.