Habari kuhusu Haki za Binadamu kutoka Februari, 2010
Haiti: Kwa Nini Habari Zote Hizi Kuhusu Yatima?
Mwezi mmoja baada ya tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa poiti saba kuangamiza sehemu kubwa ya Haiti ya kusini, mustakabali wa watoto, na hasa hasa yatima, umekuwa ni habari kubwa katika kona mbalimbali. Lakini sauti za Wahaiti kwenye mada husika zimekuwa chache...