Habari kuhusu Haki za Binadamu kutoka Oktoba, 2016
Upungufu wa Maeneo ya Wazi Wawalazimisha Watoto wa Mumbai Kucheza Katika Maeneo Machafu
“Hatuwaambii wazazi wetu kuwa tunacheza hapa. Wanafikiri tunaenda kwenye viwanja vizuri kucheza. Kama wakijua...hawataturuhusu kutoka tukacheze."
Video ya Katuni Yafafanua Mamlaka ya Mahakama ya Kiafrika katika Kulinda Haki na Binadamu na Raia
Huna hakika mahakama hiyo hufanya kazi gani? Video hii inaweza kusaidia.
Mfungwa wa Zamani wa Guantanamo Ahatarisha Maisha Yake Kwa Kugoma Kula Akishinikiza Kuunganishwa na Familia Yake
"Wamenifungia milango na kuniacha bila namna lolote na hii ndiyo njia pekee niliyonayo kujiokoa."
Yaliyojiri Wiki Hii Hapa Global Voices: Anahitaji Kutendewa Haki
Wiki hii, tunakuletea wanawake wanaosaka au wanaopata haki zao nchini Poland, Uruguay, Urusi na Syria.
Serikali ya Ethiopia Yazima Intaneti ya Simu za Mkononi na Mitandao ya Kijamii
Wale wanaoufuatilia mwenendo wa mambo wanahofia kuwa hatua hii inaweza kuwa dalili ya mwanzo wa hatari kwa maandamano hayo yaliyoendelea kwa miezi 12.