Habari kuhusu Haki za Binadamu kutoka Juni, 2016
Mwanaume wa Tanzania Ahukumiwa Kifungo cha Miaka Mitatu Jela kwa “Kumtukana” Rais kwenye Mtandao wa Facebook
Hukumu hii inakuja baada ya Sheria ya Makosa ya Jinai ya Tanzania kupitishwa mwaka 2015, ambayo wakosoaji wengi wanasema inawapa polisi mamlaka makubwa bila udhibiti wowote
Ubaguzi wa India kwa Waafrika Waibuka Tena Baada ya m-Kongo Kuuawa kwa Kupigwa
Sema, "India inakupenda," kwa wa-Islamu, wa-Daliti, wa-afrika, wasio na dini...na kisha rudi ukawapige makofi?
Mwanaume wa Uganda Aswekwa Rumande kwa Kuvaa Tisheti Yenye Picha ya Kiongozi wa Chama cha Upinzani
Je tunaweza kutoka na kusema kwa sauti kuwa hii sio demokrasia kwa sababu sio? Tisheti Upuuzi gani!? Kwa nini msituweke wote kwenye magwanda yenu ya njano sasa?