Habari kuhusu Haki za Binadamu kutoka Mei, 2014
Rwanda: Mema, Mabaya na Matumaini
Ingawa Rwanda imepiga hatua kubwa katika kuponya majeraha ya mauaji ya kimbari ya 1994, makundi ya utetezi yanaripoti vitendo vya uvunjaji wa haki za binadamu.
Watu Wenye Ulemavu Kugombea Katika Uchaguzi wa Umoja wa Ulaya
"Sisi ni kikundi cha watu walioathirika, moja kwa moja au kwa namna moja au nyingine na ulemavu au lugha nyingine magonjwa nadra, tumeungana kwa lengo moja — nalo ni kuboresha maisha ya wale walioathirika."
Mapigano ya Wanakijiji Kugombea Ardhi Yasababisha Maafa Nchini Madagaska
Blogu ya L'Express Mada ilitoa taarifa kwamba kijiji kizima cha Andranondambo kilichoko Kusini mwa Madagascar kiliharibiwa [fr] kufuatia mapigano ya wanakijiji yaliyosababishwa na mzozo wa kumiliki ardhi. Vita vya wenyewe...
Jamaika: Alama Zinapoashiria Kikomo
Blogu ya Active Voice imetoa mkusanyiko wa twiti zenye mitazamo ya kupendekeza ufumbuzi kuhusu kampeni ya #bringbackourgirls inayodai kurudishwa kwa wasichana waliotekwa na magaidi wa Boko Haram.
Ethiopia: #FreeZone9Bloggers Yavuma Kwenye Mtandao wa Tumblr
Global Voices Advocacy ilianzisha mtandao wa Tumblr mapema mwezi Mei kutafuta uungwaji mkono kwa wanablogu tisa na waandishi wa habari – ambao wanne kati yao ni wanachama wa Global Voices...
Udikteta Umekwisha Lakini Uhuru wa Habari Bado ni Tishio Nchini Myanmar
Irrawaddy alisisitiza kuendelea kwa matatizo yanayowakabili waandishi wa habari nchini Myanmar licha ya mageuzi kutekelezwa na serikali …Licha ya mabadiliko yanayoonekana katika jinsi serikali inavyotumikia vyombo vya habari, mawazo ya...
Mazungumzo ya GV: Kupigania Kuachiliwa Huru kwa Wanablogu wa Ethiopia wa Zone 9
Wanablogu tisa ikiwa ni pamoja na waandishi wa habari ---wanne wao wakiwa ni wanachama wa Global Voices ---wanashikiliwa nchini Ethiopia kwa sababu ya kutekeleza majukumu yao. Fahamu namna ya kuunga mkono kampeni ya #FreeZone9Bloggers!
‘Hali Mbaya’ ya Haki za Binadamu Nchini Vietnam
Mtandao wa haki za Binadamu illitoa ripoti yake ya 2013 kuhusu ‘hali mbaya’ ya haki za binadamu nchini Vietnam: …. Hali ya haki za binadamu nchini Vietnam iligeuka na kuwa...
Ni kazi Ngumu Kuwa Kiongozi wa upinzani Nchini Zambia
Gershom Ndhlovu anaelezea ni kwa nini ni vigumu kuwa kiongozi wa upinzani nchini Zambia: kwa kweli ni kazi ngumu kuwa kiongozi wa upinzani nchini Zambia. Unakabiliana na polisi kila siku,...
Mzee wa Kimasedonia Apambana Kurejeshewa Mali Yake
Mwanablogu wa Kimasedonia anayeitwa Dushko Brankovikj, ambaye mali zake zimetaifishwa mara mbili, ameshinda kesi, lakini serikali haijaweza kumrudishia mali zake.