Habari kuhusu Haki za Binadamu kutoka Disemba, 2013
Cuba: Madiba Alifanya Mengi Mazuri Pamoja na Mapungufu Aliyokuwa Nayo.
Blogu ya Cuba Without Evasion yatanabaisha kuwa, namna pekee ya kumuenzi Nelson Mandela ni kwa “kuiga mfano wake wa kusamehe na Usuluhishi”: Ninakusamee…kwa urafiki uliokuwepo kati yako na…dikteta aliyekuwa muovu...
Brazil: Je Unamuenzi Mandela? Basi Saidia Haki za Binadamu
Bango la kuonyesha heshima kwa Nelson Mandela limechukua umaarufu usiojulikana wa kiongozi wa Afrika Kusini nchini Brazil kwa kuwaita wale ambao wanaenzi urithi wake kusaidia haki za binadamu. Ujumbe huo...
Caribbean: Kwaheri, Nelson Mandela
Tangazo la kifo cha Nelson Mandela limepokelewa kwa mshtuko. Wanablogu wa maeneo mbalimbali wanashirikishana mawazo yao kuhusu kuondoka kwa mmoja wa magwiji wa upinzani kwa njia za amani duniani aliyetutoka.
Misri: Kampeni kwa Ajili ya Haki za Watu Wenye Mahitaji Maalum
Wamisri pembezoni wenye mahitaji maalum wamekuwa wakifanya maandamano kwa haki zao kabla na tangu mapinduzi ya #Jan25. Hata hivyo, malalamiko yao bado hayajatatuliwa. Wakati Kamati ya watu 50 wanapiga kura...
Ulaya Yamuonya Waziri wa Ufaransa Kuhusu Matamshi Yake Dhidi ya Warumi
Matamshi ya Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ufaransa, Manuel Valls, yalifufua uhasama uliokuwepo kati ya Ufaransa na Warumi.
Taiwan: Maandamano Dhidi ya Sheria Juu ya Usawa Kwenye Ndoa
Wabunge wa Yuan nchini Taiwan walipitisha muswada wa kwanza ya “Usawa kwenye Ndoa“ [zh] mnamo Oktoba 25, 2013. Novemba 30, zaidi ya watu 300,000 walipinga muswada huu, hasa dhidi ya...