Habari kuhusu Haki za Binadamu kutoka Novemba, 2016
Serikali ya Ethiopia Yamshikilia Mwanablogu wa Zone9 Befeqadu Hailu kwa Kigezo cha ‘Hali ya Hatari’
Hailu alitarifiwa kuwa kukamatwa kwake kulisababishwa na mahojiano aliyoyafanya na Idhaa ya Amerika katika lugha ya Kiamfariki kuhusu hali ya hatari iliyotangazwa nchini Ethiopia.
Wenyeji wa Melbourne Wawakaribisha Wakimbikizi wa Syria kwa Mikono Miwili—na Panzi
"Panzi wetu wanatukumbusha kuwa hata kitendo kidogo kinaweza kuwa na matokeo makubwa."
Kama Ningekuwa na Bunduki
"Ninapofikiria nyakati kama hizi niliposhambuliwa au kuona mashambulizi, siwezi kufikiri hata mara moja namna gani silaha ingefanya matokeo yawe mazuri zaidi"
Duterte ni Nani? Mjadala wa Kina
Amemwita Rais wa Marekani Obama mtoto wa kahaba. Vita yake dhidi ya madawa ya kulevya imeua maelfu ya watu. Lakini huo ni upande mmoja tunapomzungumzia Rais wa Ufilipino Duterte.
Morocco Yaondoa Vikwazo Dhidi ya Vitumizi vya VoIP Kuelekea Kongamano la Tabia Nchi la Umoja wa Mataifa.
"Ili kukwepa kuonekana kama ni nchi ya mabavu wakati wa kongamano la tabia nchi #COP22, nchi ya Morocco imerejesha kwa muda huduma za VoIP," alitwiti mtuaji mmoja wa mtandao wa intaneti.