Habari kutoka 30 Septemba 2014
Blogu Sita za Kiingereza Zinazoweza Kukusaidia Kuielewa Japani
Orodha ya blogu bora za Kijapani zinazoandika matukio, utamaduni, siasa, uhalifu unaotokea Japani na zaidi. Kama kuna blogu tumeisahau, tafadhali iongeze kwenye kisanduku cha maoni!
Papa Francis Kutembelea Eneo Lililokumbwa na Kimbunga cha Haiyan Nchini Ufilipino
Nembo na tovuti rasmi inayohusiana na ziara ya Papa Francis nchini Ufilipino mwezi Januari 2015 tayari imezinduliwa. Papa Francis atatembelea jiji la Manila ma Tacloban. Tacloban ndiko lilikotokea janga la...
Tamasha la Kwanza la ” Africa Web Festival” Litafanyika Jijini Abidjan, Côte d'Ivoire
Tamasha la kwanza la Africa Web Festival litafanyika jijini Abidjan, Côte D'Ivoire (Novemba 24-26). Tamasha hilo litawapa fursa wabunifu wa Afrika kushiriki kwenye mashindano (zoezi la kujiandikisha liko wazi mpaka Oktoba...
Kolombia: Hapana kwa Utalii wa Ngono Mjini Medellín
Kufikia katikati mwa mwezi Julai 2014, ukurasa wa Facebook Hapana kwa utalii wa ngono ulianzishwa, kwa lengo la kukuza uelewa kuhusu utalii wa ngono nchini Kolombia. Wikipedia inatafsiri dhana hiyo:...
Waandamanaji Wanaodai Demokrasia Wageuza Hong Kong Kuwa Bahari ya Miamvuli
Yakiwa yamepewa jina la utani la "mapinduzi ya miamvuli" na baadhi ya vyombo vya habari, maandamano ya Hong Kong yatawaliwa na waandamanaji wanaojikinga na mabomu ya kutoa machozi kwa kutumia miamvuli.