Habari kutoka 7 Julai 2014
Pongezi Kemkem kwa Alexander Sodiqov Kutoka Toronto, Canada
Posti hii ni sehemu ya kampeni yetu ya #FreeAlexSodiqov: Mwandishi wa GV aliyetiwa kizuizini nchini Tajikistan. Ni muda wa wiki tatu tangu mwandishi wa Global Voices Alexander Sodiqov kukamatwa mjini...
Mfungo wa Ramadhani Wawaingiza Watu Matatani kwa Kula Daku Usiku Nchini Misri
Vijana kumi na moja walikamatwa nchini Misri wakiwa wanapata daku usiku, kitendo kinachochukuliwa kuwa kosa la kukutana usiku kinyume na sheria. Noor Mattar ana taarifa zaidi kuhusu mahabusu hao wa 'kosa la kula daku' kinyume cha sheria.
Kuongozeka kwa Vitendo vya Kujichukulia Sheria Mkononi Nchini Senegali
Sada Tangara, mpiga kura na mwanablogu anayeishi Dakar, nchini Senegali aliweka picha-habari inayohusu kuongezeka kwa matukio ya kujichukulia sheria mkononi kwenye mitaa ya Dakar, mji mkuu wa Senegali. Anaeleza mwanzo...