Habari kutoka 23 Aprili 2014
Gazeti la Kifaransa Lachapisha Chati Inayoonyesha Mataifa Yanayoongoza kwa Uhalifu
Gazeti la Le Progrès la jijini Lyon, Ufaransa ilichapisha chati [fr] yenye jina la “”Délinquance : à chacun sa spécialité – principales nationalités impliquées” (Uhalifu: Mataifa yanayohusishwa zaidi na [kila aina ya uhalifu]) (Ona picha katika mtandao wa twita hapa chini): Dans son édition du jour, Le Progrès ose publier un...
Watu 28 Wafariki, 268 Bado Hawajulikani Walipo Baada ya Feri ya Korea Kusini Kuzama
Feri ya Korea Kusini iliyokuwa ikielekea kwenye kisiwa cha mapumziko ilizama ikiwa na mamia ya abiria. Mwongoza mferi hiyo na wafanyakazi wa feri hiyo waliokolewa kwanza, kabla ya abiria wengi kupata msaada
Mashirika ya Kimataifa, Wanaharakati na Waandishi dhidi ya #LeyTelecom
Mashirika kadhaa ya kimataifa ya haki za digitali zilitumia kongamano la Mexico barua kuonyesha msaada wa kimataifa [es] kwa ajili ya kutetea uhuru wa kujieleza na uhuru kwenye mtandao nchini Mexico. Barua imetiwa sahihi na Electronic Frontier Foundation, Vía Libre, Digital Rights NGO, miongoni mwa wasomi wengine na wataalam. Kwa...