Habari kuhusu Vyombo na Uandishi wa Habari kutoka Aprili, 2014
Robert Antoni Ashinda Tuzo ya Boca 2014 ya Fasihi ya ‘Caribbean’
Mwanablogu wa Jamaika aishiye ughaibuni Geoffrey Philp anataarifu kuwa Robert Antoni, mwandishi wa kitabu cha “As Flies to Whatless Boys”, ameshinda Tuzo ya One Caribbean Media Bocas 2014 kwa Fasihi...
Ni “Udhaifu” wa Serikali, Yasema Ripoti ya Ajali ya Kivuko cha Korea Kusini
Zimetimu siku 14 tangu kivuko cha Sewol kizame na watu 205 wamethibitika kupoteza maisha. Wanasiasa wanatumia tukio hilo na habari zisizosahihi za vyombo vya habari kuchochea hasira miongoni mwa Wakorea Kusini.
Kupotea kwa Ndege ya MH370: Waziri Mkuu wa Australia Ajichanganya
Waziri Mkuu wa Australia Tony Abbott anazungumza kuhusu zoezi la utafutaji wa ndege ya shirika la ndege la Malaysia MH370.
Win Tin: Mfungwa wa Kisiasa wa Myanmar Aliyefungwa kwa Muda Mrefu Zaidi Afariki Dunia
Mwandishi wa habari na mwanaharakati Win Tin ni mmoja wa viongozi wa harakati za kutetea demokrasia.
Gazeti la Kifaransa Lachapisha Chati Inayoonyesha Mataifa Yanayoongoza kwa Uhalifu
Gazeti la Le Progrès la jijini Lyon, Ufaransa ilichapisha chati [fr] yenye jina la “”Délinquance : à chacun sa spécialité – principales nationalités impliquées” (Uhalifu: Mataifa yanayohusishwa zaidi na [kila aina...
Watu 28 Wafariki, 268 Bado Hawajulikani Walipo Baada ya Feri ya Korea Kusini Kuzama
Feri ya Korea Kusini iliyokuwa ikielekea kwenye kisiwa cha mapumziko ilizama ikiwa na mamia ya abiria. Mwongoza mferi hiyo na wafanyakazi wa feri hiyo waliokolewa kwanza, kabla ya abiria wengi kupata msaada
Blogu ya Tunisia Yazindua Jukwaa la ‘Kuvujisha Taarifa Nyeti’
Blogu ya Tunisia iliyowahi kushinda tuzo iitwayo Nawaat imezindua jukwaa lake la kuvujishia taarifa nyeti: Nawaat Leaks.
Waethiopia Waadhimisha Siku ya Wajinga kwa Kuikejeli Televisheni ya Taifa
"Katika kujibu shutuma za wanaharakati hao siku hiyo, #ETv walitangaza kuwa hii [siku ya wajinga] ndio siku pekee ambayo hawaimiliki"
Utani Mitandaoni: Siku ya Wajinga Nchini Ethiopia
Wa-Ethiopia kwenye mtandao wa twita wanasherehekea siku ya wajinga duniani kwa kutangaza habari bandia ambazo zinaiga uongo unaotangazwa na vyombo vya habari vya serikali. Raia mmoja wa Ethiopia anayetwiti: “Wanatangaza...