Habari kuhusu Vyombo na Uandishi wa Habari kutoka Julai, 2016
Ayatollah Khomeini Alifariki Miaka 27 Iliyopita, Lakini Msaidizi wa Trump Anamtaka Alaani Shambulio la Nice Hivi Karibuni
Akiongea kwenye Kituo cha Fox News akiwa na Megyn Kelly, Flynn alisema kwa hasira, “Ninamtaka Imam, au Khomeini, atoke hadharani alaani itikadi hii ya isiyojitenga na damu ya Uislamu."