Habari kuhusu Vyombo na Uandishi wa Habari kutoka Oktoba, 2020
Televisheni ya taifa nchini China yapotosha matamshi ya mwanasayansi wa Shirika la Afrika Duniani (WHO) kwenye video inayosambaa sana
Neno"ikiwa "katika hotuba ya Dkt.Swaminathan ilitolewa kwenye video na kifungu cha ushirika iliokua awali kudokeza dalili
Jinsi Mauaji ya Mwanamuziki Hachalu Hundessa Yalivyochochea Uvunjifu wa Amani Huko Ethiopia: Sehemu Ya I
Baada ya mauaji ya Hachalu Hundessa, Ethiopia inapambana kutuluza vurugu zilizotokea baina ya makundi ya kikabila na kidini.