Habari kuhusu Vyombo na Uandishi wa Habari kutoka Septemba, 2013
Serikali ya Tanzania Yafunga Magazeti Mawili
Serikali jana (terehe 27 Septemba, 2013) ilitangaza kuyafungia magazeti ya Mwananchi na Mtanzania kutokana na kuandika habari na makala zilizoelezwa zina nia ya kusababisha wananchi wakose imani kwa vyombo vya...
Uvumi Waenea Kwamba Putin Amefunga Ndoa Nyingine
Kumekuwepo na tetesi za muda mrefu kuwa Putin ana uhusiano wa kimapenzi na mcheza sarakasi Alina Kabaeva. Uvumi umekuwa mkubwa, kiasi cha kuhisiwa kuwa "wapenzi" hao hatimaye wameoana.
Vyombo vya Habari vya Magharibi na Taswira ya Ellen Sirleaf Johnson
Aaron Leaf anajadili jinsi taswira ya rais wa Liberia, Ellen Johnson Sirleaf, hujengwa na vyombo vya habari kimagharibi kama alama ya mambo yote mazuri. Anasema kwamba hili ndiyo simulizi lililomwezesha...