Habari kuhusu Vyombo na Uandishi wa Habari kutoka Septemba, 2014
Blogu Sita za Kiingereza Zinazoweza Kukusaidia Kuielewa Japani
Orodha ya blogu bora za Kijapani zinazoandika matukio, utamaduni, siasa, uhalifu unaotokea Japani na zaidi. Kama kuna blogu tumeisahau, tafadhali iongeze kwenye kisanduku cha maoni!
Vyombo vya Habari Vyaususia Wimbo wa Kupigania Uhuru Ulioimbwa na Msanii Maarufu Nchini Macedonia
Msanii maarufu wa Macedonia wa miondoko ya kufoka foka amejikuta akipoteza umaarufu baada ya kuachia ‘kibao’ kinachojadili masuala ya uhuru wa habari nchini Macedonia.
Uhuru wa Vyombo vya Habari nchini Liberia Wawekwa Shakani Kufuatia Vita Dhidi ya Ebola
Umoja wa wanahabari wa Liberia wasikitishwa na hali ya kukosekana kwa uhuru wa upashanaji habari kufuatia hatua ya serikali ya kuzuia kuenea kwa virusi vya ebola. Umoja huu ulimwandikia barua...
CPJ Yamtaka Obama Kulinda Haki ya Kutangaza Habari kwenye Enzi za Dijitali
Wakati serikali zaidi duniani zikizidi kuwalenga waandishi wa habari kwa udukuzi, Kamati ya Kuwalinda Waandishi inaitaka Serikali ya Obama kujisafisha
Jinsi Wanablogu Walifikia Gerezani kwa Kuandika Kuhusu Haki za Binadamu Nchini Ethiopia
Melody Sundberg anachambua uhuru wa kujieleza nchini Ethiopia baada ya wanablogu wa Ethiopia waliokamatwa kukaa siku 100 gerezani: Ethiopia ina idadi ya watu 94,000,000 na ni nchi ya pili yenye...
Surprising Europe: Mkusanyiko Huru wa Simulizi za Uhamiaji
Jukwaa huru la mtandaoni linalozikusanya na kuziweka pamoja simulizi na video za wahamiaji kutoka Afrika. An online platform that brings together African immigrants' stories and videos, unabridged. NI mradi unaosaidia kukabiliana na unyanyasaji na unyanyapaa pamoja na kuwaongezea watu ufahamu kuhusiana na wahamiaji hawa.
Majadiliano na Picha za Mkutano wa Highway Africa 2014
Mkutano wa Highway Africa 2014 ulifanyika kuanzia tarehe 7-8 Septemba, 2014 kwenye Chuo Kikuu cha Rhodes, Grahamstown, Afrika Kusini. Maudhui ya mkutano huo yalikuwa Mitandao ya Kijamii -kutoka pembezoni kwenda...
ISIS Yaonesha Video ya Mauaji ya Mwandishi Steven Sotloff
Video ya dakika tatu inayodaiwa kuonesha kuuawa kwa kukatwa kichwa kwa Steven Sotloff, ambaye amekuwa akifanya kazi katika maeneo hatarishi ya Mashariki ya Kati yakiwemo ya nchi za Bahrain, Syria, Egypt, Libya na Uturuki.