Habari kuhusu Vyombo na Uandishi wa Habari kutoka Juni, 2016
30 Juni 2016
Kwa nini Kila Mtu Nchini Madagaska Anafanyia Mzaha Mananasi
Mjadala wa Mananasi nchini Madagaska ni zaidi ya ujuavyo.
16 Juni 2016
‘HiviSasa’, Mradi wa Uandishi wa Kiraia Nchini Kenya kwa Ajili ya Tovuti za Simu

"Inapatikana kirahisi, inavutia watu wa makundi tofauti, ina uwazi na kumwezesha mwananchi na serikali ujumla. Wananchi wenye taarifa sahihi hufanya maamuzi bora na sahihi kwa...
12 Juni 2016
Mtazamo wa Tamasha la Kwanza la WanaBlogu na Vilogu wa Barani Afrika Lililofanyika Huko Dakar, Senegal
Kwa siku mbili, wanablogu na wanavilogu maarufu barani Afrika, wakiambatana na wadau kadhaa wa teknolojia barani Afrika walikuwa na majadiliano ya namna ya kuboresha kazi...