Habari kuhusu Vyombo na Uandishi wa Habari kutoka Disemba, 2013
Ufisadi: Tishio kubwa kwa uhuru wa kujieleza Barani Amerika ya Kusini
Katika miaka 20 iliyopita, waandishi wa habari 670 wameuawa katika Amerika ya Kusini na Caribbean,kwa mujibu wa wajumbe kutoka muungano wa IFEX-ACL, ambayo hivi karibuni iliwasilisha Ripoti ya Mwaka juu...