Habari kuhusu Vyombo na Uandishi wa Habari kutoka Machi, 2019
Umri Mkubwa, Hotuba Za Chuki Uhuru wa Habari: Ajenda Kuu Katika Uchaguzi wa Rais Nigeria 2019
Katikati ya sintofahamu ya kampeni za uchaguzi wa Naijeria — mitaani na mitandaoni — hapa ni baadhi ya masuala yanayoweza kusahaulika katika uchaguzi wa mwaka huu.
Wanaharakati Watafuta Majibu, Mwezi Mmoja Baada ya Uchunguzi wa Kifo cha Aliyekuwa Mwandishi wa Habari.

Divela aliiambia asasi ya kuwalinda Waandishi (Committee to Protect Journalists) kupitia ujumbe wa WhatsApp kwamba "vigogo nchini Ghana walikuwa wanatafuta namna ya kumdhuru"