Habari kuhusu Vyombo na Uandishi wa Habari kutoka Januari, 2014
Mwaliko wa Mapendekezo ya Tuzo za Blogu Nchini Kenya 2014
Waandaaji wa Tuzo za Blogu nchini Kenya 2014, ambao ni Umoja wa Wanablogu nchini humo (BAKE) kwa sasa wanakaribisha mapendekezo ya wawaniaji wa tuzo hizo mpaka Februari 10, 2014. Watumiaji wanaweza kupiga kura kwa njia ya mtandao kuanzia Machi 1, mpaka April 30, 2014 kupendekeza blogu wanazoona kuwa ni bora...
Trinidad & Tobago: Mambo Madogo Yaweza Kuleta Utofauti
ban-d-wagonist aweka video yenye “maoni rahisi ya namna ambavyo raia wa kawaida wanavyoweza kuijenga Trinidad na Tobago yenye mafanikio.”