Mwaliko wa Mapendekezo ya Tuzo za Blogu Nchini Kenya 2014

Waandaaji wa Tuzo za Blogu nchini Kenya 2014, ambao ni Umoja wa Wanablogu nchini humo (BAKE) kwa sasa wanakaribisha mapendekezo ya wawaniaji wa tuzo hizo mpaka Februari 10, 2014.  Watumiaji wanaweza kupiga kura kwa njia ya mtandao kuanzia Machi 1, mpaka April 30, 2014 kupendekeza blogu wanazoona kuwa ni bora katika makundi 17 tofauti, ikiwa ni pamoja na kundi jipya la Blogu bora ya Afya na Blogu Bora ya Kaunti/Wilaya.

Bake logo

Nembo rasmi ya BAKE. Picha imetolewa: http://bloggers.or.ke.

Tuzo za Blogu nchini Kenya,  ni mradi wa  Umoja wa Wanablogu wa Kenya (BAKE) , wanakusudia kuwazawadia wnaablogu wanaobandika posti zao mara kwa mara, wenye maudhui sahihi na yenye kusaidia, wabunifu na wenye mambo mapya. Makundi mengine ni pamoja na: 

  • Blogu bora ya Teknojia
  • Blogu bora ya Picha
  • Blogu bora ya Uandishi wa Kiubunifu
  • Blogu bora ya Biashara
  • Blogu bora ya Chakula
  • Blogu bora ya Kilimo/Mazingira
  • Blogu bora ya Mitindo/Urembo/Nywele
  • Blogu bora ya Siasa
  • Blogu bora Mpya
  • Blogu bora ya Shirika
  • Blogu bora ya Mada
  • Blogu bora ya Michezo
  • Blogu bora ya Burudani/Mtindo wa Maisha
  • Blogu bora ya Kusafiri/li>
  • Blogu bora ya Mwaka nchini Kenya

Hapa chini kuna video ya kuzinduliwa kwa Tuzo za Blogu Nchini Kenya:

Blogu zinaweza kupendekezwa kwa kutumia kiungo hiki.  

1 maoni

  • Kiungo cha makala haya kutokea kwenye tovuti nyingine: Mwaliko wa Mapendekezo ya Tuzo za Blogu Nchini Kenya 2014 | TravelSquare

    […] Mwaliko wa Mapendekezo ya Tuzo za Blogu Nchini Kenya 2014 Waandaaji wa Tuzo za Blogu nchini Kenya 2014, ambao ni Umoja wa Wanablogu nchini humo (BAKE) kwa sasa wanakaribisha mapendekezo ya wawaniaji wa tuzo hizo mpaka Februari 10, 2014.  Watumiaji wanaweza kupiga kura kwa njia ya mtandao kuanzia Machi 1, mpaka April 30, 2014 kupendekeza blogu wanazoona kuwa ni bora katika makundi 17 tofauti, ikiwa ni pamoja na kundi jipya la Blogu bora ya Afya na Blogu Bora ya Kaunti/Wilaya. Nembo rasmi ya BAKE. Picha imetolewa: http://bloggers.or.ke. Tuzo za Blogu nchini Kenya,  ni mradi wa  Umoja wa Wanablogu wa Kenya (BAKE) , wanakusudia kuwazawadia wnaablogu wanaobandika posti zao mara kwa mara, wenye maudhui sahihi na yenye kusaidia, wabunifu na wenye mambo mapya. Makundi mengine ni pamoja na:  Blogu bora ya Teknojia Blogu bora ya Picha Blogu bora ya Uandishi wa Kiubunifu Blogu bora ya Biashara Blogu bora ya Chakula Blogu bora ya Kilimo/Mazingira Blogu bora ya Mitindo/Urembo/Nywele Blogu bora ya Siasa Blogu bora Mpya Blogu bora ya Shirika Blogu bora ya Mada Blogu bora ya Michezo Blogu bora ya Burudani/Mtindo wa Maisha Blogu bora ya Kusafiri/li> Blogu bora ya Mwaka nchini Kenya Hapa chini kuna video ya kuzinduliwa kwa Tuzo za Blogu Nchini Kenya: Blogu zinaweza kupendekezwa kwa kutumia kiungo hiki.   Imeandikwa na Ndesanjo Macha · Imetafsiriwa na Christian Bw… Kusoma makala kamili  »  https://sw.globalvoicesonline.org/2014/01/mwaliko-wa-mapendekezo-ya-tuzo-za-blogu-nchini-kenya-2014/ […]

jiunge na Mazungumzo

Mwandishi, tafadhali jiandikishe »

Miongozo

  • Tafadhali wape heshima watumiaji wengine. Maoni yenye lugha ya chuki, matusi na mashambulizi binafsi hayataruhusiwa.