Habari kuhusu Vyombo na Uandishi wa Habari kutoka Septemba, 2008
Irani: Redio Zamaneh, Redio ya Mabloga
Redio Zamaneh ni redio ya lugha ya kipersia yenye makao yake huko mjini Amsterdam. Zamaneh ni neno linalomaanisha “wakati” katika lugha hiyo. Redio Zamaneh (RZ) ni chombo huru cha utangazaji...