Habari kuhusu Vyombo na Uandishi wa Habari kutoka Mei, 2019
Mfanyabiashara wa Slovakia Ashtakiwa kwa Kuamuru Mwanahabari Ján Kuciak na Mchumba Wake Wauawe
"Hii ni hatua kubwa muhimu, na ni nadra kuchukuliwa mwandishi wa habari anapouawa. Tunatarajia kuwa mamlaka zitatekeleza ahadi ya kuhakikisha haki inatendeka dhidi ya wote waliohusika."
Huru Mchana, Usiku Kifungoni: Mwanaharakati wa Kimisri Azungumzia Masharti ya Kufunguliwa Kwake
Wanaharakati, walioachiliwa hivi karibuni kutoka gerezani, uhuru wao kwa sasa unaanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 12 jioni.