Habari kuhusu Vyombo na Uandishi wa Habari kutoka Januari, 2013
Hakuna Usalama kwa Waandishi wa Kiraia Nchini Bahrain
Baada ya video ya "kibao" cha polisi wa Bahrain kusambaa sana mtandaoni, Waziri wa Mambo ya Ndani alitoa tamko akiomba kuwa yeyote aliyepiga picha tukio hilo aliripoti haraka kwa mamlaka zinazohusika. Siku mbili baadae, na kinyume na kauli hiyo, watu wengi walishangazwa na kukamatwa kwa mpiga picha.