Habari kuhusu Vyombo na Uandishi wa Habari kutoka Oktoba, 2012
China: Hatua za Kubana Uhuru wa Habari Majimboni
Jing Gao kutoka blogu ya Tofu anaeleza namna serikali ya Fuji ilivyo na mikakati michafu dhidi ya Yunnan na jinsi inavyochukua hatua za kuzuia uchapishaji wa habari zinazoweka wazi kashfa...