Habari kuhusu Vyombo na Uandishi wa Habari kutoka Februari, 2013
Uhuru wa Vyombo vya Habari Nchini Myanmar Bado ni Giza
Uamuzi wa Myanmar wa kuivunja bodi katili ya ukaguzi ilisifiwa na makundi mbalimbali ya watu kama njia ya kuelekea kuimarisha uhuru wa vyombo vya habari nchini humo. Lakini, waangalizi wa uhuru wa vyombo vya habari waliainisha vitisho na mashambulio wanayokabiliana nayo waandishi wa habari wanaoishi nchini Myanmar.