Habari kuhusu Vyombo na Uandishi wa Habari kutoka Mei, 2014
Polisi wa Masedonia Wawalazimisha Waandishi Kufuta Picha za Ghasia
Ghasia, zilizofumuka baada ya kuuawa kwa kijana wa miaka 19, zilisababisha misuguano kati ya watu wenye asili ya Albania na Masedonia kwenye jiji la Skopje.
Rwanda: Mema, Mabaya na Matumaini
Ingawa Rwanda imepiga hatua kubwa katika kuponya majeraha ya mauaji ya kimbari ya 1994, makundi ya utetezi yanaripoti vitendo vya uvunjaji wa haki za binadamu.
Mazungumzo ya GV: Kupigania Kuachiliwa Huru kwa Wanablogu wa Ethiopia wa Zone 9
Wanablogu tisa ikiwa ni pamoja na waandishi wa habari ---wanne wao wakiwa ni wanachama wa Global Voices ---wanashikiliwa nchini Ethiopia kwa sababu ya kutekeleza majukumu...
Global Voices na Connectas Watangaza Kushirikiana Maudhui
Global Voices itachapisha maudhui yanayoandikwa na CONNECTAS, mradi wa kiuandishi kwa Bara la Amerika Kusini uliopo nchini Columbia.
Njia 4 Unazoweza Kuzitumia Kujiunga na Kampeni ya #FreeZone9Bloggers
Jiunge na kampeni ya kudai kuachiwa kwa wanablogu na waandishi tisa waliokamatwa nchini Ethiopia: Andika barua, tia saini tamko, au andaa tukio kwenye mji wako!