Habari kuhusu Vyombo na Uandishi wa Habari kutoka Julai, 2014
Highway Africa 2014 Yasogeza Mbele Tarehe ya Mwisho ya Kujiandikisha
Tarehe ya mwisho ya kujiandikisha kwa ajili ya Mkutano wa 18 wa mwaka wa Highway Africaimesogezwa mbele mpaka Ijumaa, Agosti 08 2014: Kutokana na kuongezeka kwa shauku ya watu kuhudhuria...
Kuongozeka kwa Vitendo vya Kujichukulia Sheria Mkononi Nchini Senegali
Sada Tangara, mpiga kura na mwanablogu anayeishi Dakar, nchini Senegali aliweka picha-habari inayohusu kuongezeka kwa matukio ya kujichukulia sheria mkononi kwenye mitaa ya Dakar, mji mkuu wa Senegali. Anaeleza mwanzo...
Mwanablogu wa Kibahraini Takrooz Akamatwa
Mtumiaji wa mitandao ya kijamii wa Kibahraini Takrooz amekamatwa kwa madai ya "kuchochea chuki dhidi ya utawala" kwenye mtandao wa Twita.