Habari kuhusu Vyombo na Uandishi wa Habari kutoka Oktoba, 2019
Jean-Jacques Muyembe-Tamfum: Mwanasayansi wa Congo Aliyegundua Tiba ya Ebola
Mwanasayansi huyu amegundua dawa ya kutibu ugonjwa wa Ebola. Je, jina lake litashika vichwa vya habari kwa mapana katika vyombo vya habari kama ilivyo kwa habari kuhusu ugonjwa wenyewe?