Utani Mitandaoni: Siku ya Wajinga Nchini Ethiopia

Wa-Ethiopia kwenye mtandao wa twita wanasherehekea siku ya wajinga duniani kwa kutangaza habari bandia ambazo zinaiga uongo unaotangazwa na vyombo vya habari vya serikali. Raia mmoja wa Ethiopia anayetwiti: “Wanatangaza uongo wa mchana siku 365 za mwaka, ngoja twarudishie dozi ya kuwatosha yenye habari za uongo kadri tunavyoweza”. Wafuatilie ili kujua kinachoendelea kwenye kupitia #ETvDay.

1 maoni

  • Kiungo cha makala haya kutokea kwenye tovuti nyingine: Utani Mitandaoni: Siku ya Wajinga Nchini Ethiopia | TravelSquare

    […] Utani Mitandaoni: Siku ya Wajinga Nchini Ethiopia Wa-Ethiopia kwenye mtandao wa twita wanasherehekea siku ya wajinga duniani kwa kutangaza habari bandia ambazo zinaiga uongo unaotangazwa na vyombo vya habari vya serikali. Raia mmoja wa Ethiopia anayetwiti: “Wanatangaza uongo wa mchana siku 365 za mwaka, ngoja twarudishie dozi ya kuwatosha yenye habari za uongo kadri tunavyoweza”. Wafuatilie ili kujua kinachoendelea kwenye kupitia #ETvDay. Imeandikwa na Solana Larsen · Imetafsiriwa na Christian Bwaya · Angalia ujumbe mama [en] · maoni (0) Tuma: facebook · twitter · googleplus · reddit · StumbleUpon · delicious … Kusoma makala kamili  »  http://sw.globalvoicesonline.org/2014/04/utani-mitandaoni-siku-ya-wajinga-nchini-ethiopia/ […]

jiunge na Mazungumzo

Mwandishi, tafadhali jiandikishe »

Miongozo

  • Tafadhali wape heshima watumiaji wengine. Maoni yenye lugha ya chuki, matusi na mashambulizi binafsi hayataruhusiwa.