Habari kutoka 31 Mei 2015
Baada ya Miaka 33, Cuba Haipo Kwenye Orodha ya Marekani ya Nchi Zinazofadhili Ugaidi
Orodha hiyo, kwa mujibu wa Marekani, ni ya nchi ambazo zina kawaida ya kuwezesha vitendo vya ngazi ya kimataifa vilivyopangwa, na vyenye lengo la kupambana kisiasa na raia wasio na silaha.
ISIS Yashambulikia Kwa Mara Nyingine Msikiti wa Shia Nchini Saudi Arabia
kwenye dawati lakuthibitisha habari la Global Voices, mradi unaoendeshwa kwa ushirikiano kati ya Meedan Checkdesk, zana ya mtandaoni ya kufuatilia habari, na Global Voices Online, Joey Ayoub anaonesha miitikio ya...
Vito na Sarafu za Kale za Syria Zapigwa Mnada Kwenye Mtandao wa Facebook
Sarafu za kale zilizoibwa na ISIS kutoka kwenye maeneo yanayodhibitiwa na ISIS, sasa yanapigwa mnada kwenye mtandao na Facebook kwa mamilioni.
Je, Saudi Arabia Imelishambulia Bwawa la Kale la Marib Nchini Yemen?
Kuna taarifa zisizodhibitishwa zinazosema kwamba vikosi vya pamoja vya Kisaudi, ambavyo vimekuwa vikiishambulia Yemen kwa mabomu kwa zaidi ya miezi miwili sasa vimelilenga Bwawa la Marib, moja wapo ya maajabu...