Habari kutoka 28 Aprili 2014
Win Tin: Mfungwa wa Kisiasa wa Myanmar Aliyefungwa kwa Muda Mrefu Zaidi Afariki Dunia
Mwandishi wa habari na mwanaharakati Win Tin ni mmoja wa viongozi wa harakati za kutetea demokrasia.
Magonjwa ya Afya ya Akili Hayapewi Kipaumbele Nchini Cambodia
Akiandika kwa niaba ya Southeast Asia Globe, Denise Hruby aliripoti jinsi wagonjwa wa akili katika maeneo mengi ya vijijini vya Cambodia wanavyofanyiwa: …Wagonjwa wa akili bado hutibiwa na waganga wa...
Nukuu 8 za Kushangaza Zilizopata Kutolewa na Wanasiasa wa Malaysia
Balik Cina ni tovuti mpya ya habari inayokusanya nukuu za kuchekesha na za ajabu zinazotolewa na wanasiasa wa Malaysia.