Habari kutoka 25 Aprili 2015
Maisha ya Wakenya Yana Thamani, Wanafunzi wa Kiafrika Wasema Kwenye Ibada ya Kuwaombea Wahanga wa Garissa Jijini Beijing
Kikundi cha wanafunzi wa Kiafrika jijini Beijing waliandaa ibada ya kuwakumbuka wahanga 147 wa shambulio la Garissa pamoja na china kutokuwa na uvumilivu kwa watu wanaoomboleza hadharani
Je, Blogu Zinaelekea Kutoweka?
Makala haya ni sehemu ya 46 ya #LunesDeBlogsGV (#JumatatuYaBloguGlobalVoices) siku ya Machi 23, 2015. Kwenye #LunesDeBlogsGV (#JumatatuyaBloguGlobalVoices), tunajitahidi kuzitunza blogu mithili ya “viumbe wanaoelekea kutoweka”, kwa kushughulikia changamto zinazokabili uwepo wa blogu...