Habari kutoka 3 Oktoba 2013
Madaktari 400 wa Cuba Waenda Brazil
Daudi Oliveira de Souza, daktari na profesa wa Taasisi ya Utafiti wa Hospitali ya Sirio-Libanés, alituma barua ya wazi kwa madaktari zaidi ya mia nne wa Cuba ambao hivi karibuni waliwasili nchini Brazil wanaoanzisha kundi la kwanza la jumla ya madaktari 400 ambao wanatarajiwa kuja nchi hii kabla ya Desemba mwaka huu....
Zana ya Mtandaoni ya Kuwapima Wagombea Urais Nchini Madagaska
Tovuti ya ki-Malagasi iitwayo Madatsara imetengeneza tovuti utakayotumika kama majukwaa ya kuwapima wagombea wote wa Urais [fr]. Majukwaa yote yametengwa katika mada tisa kuwasaidia wananchi kufanya maamuzi ya busara wakati wa uchaguzi. Uchaguzi wa Rais umepangwa kufanyika tarehe 25 Oktoba, 2013 :