Habari kutoka 12 Julai 2010
Afrika Kusini: Kandanda Ili Kupinga Ubaguzi
mahojiano mafupi ya video kuhusu mashindano yaliyoandaliwa na timu ya mpira wa miguu ya Refugee VI soccer ynakusudia kuelimisha umma juu ya suala la ubaguzi dhidi ya wageni nchini Afrika Kusini.
Kambodia: Je, Viwango vya Maadili Miongoni Mwa Watawa Vinaporomoka?
Mtawa nchini Kambodia alikamatwa kwa akichukua picha za video za wanawake waliokuwa uchi katika jumba la watawa. picha hizo za video zilisambazwa sana kwa kutumia simu za viganjani na intaneti. Pia kuna taarifa nyingine za watawa kulewa na kuangalia filamu za ngono. Wanamtandao wa Kambodia wanatoa maoni