Habari kutoka 16 Agosti 2017
Mamlaka ya Habari ya Thailand Yaufungia Mtandao wa TV Uliomwita Kiongozi wa Junta Dikteta
"Amri hiyo inakiadhibu kituo chote ikiwa ni pamoja na vipindi vyote bila kujali maudhui yake, na watu wote bila kujali majukumu yao."

