17 Machi 2014

Habari kutoka 17 Machi 2014

Namna Tabia ya Kula Hotelini Inavyoathiri Utamaduni wa Kula Mtaani Indonesia

Ismanto kutoka Yogyakarta nchini Indonesia anabainisha namna mtindo mpya wa kimagharibi wa kula mikahawani unapunguza tabia ya kula “vyakula vya kufunikwa na plastiki” inayofahamika kama...

Je, Mwigizaji Maarufu Urusi Amempinga Vladimir Putin?

Nchini Urusi, ni nadra sana kwa yeyote anayeonekana mara kwa mara kwenye televisheni kumkosoa , achilia mbali kumpinga Vladimir Putin. Lakini je, Khabensky alithubutu?