Habari kutoka 7 Disemba 2013
Hekima 17 za Nelson Mandela Zinazofaa Kusomwa na Kila Mmoja
Nelson Mandela, Rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini, anaendelea kuzungumza na ulimwengu kupitia watumiaji wa mtandao wa twita waliopokea taarifa za kifo chake kwa kusambaza nukuu za maneno yake ya kukubukwa.