12 Novemba 2013

Habari kutoka 12 Novemba 2013

Mradi wa Hifadhi ya Papa Nchini Thailand

  12 Novemba 2013

Nchini Thailand eShark mradi ulizinduliwa katika mwanga wa taarifa ya kushuka kwa asilimia 95 drop katika kuonekana kwa papa nchini Thailand. Matokeo ya mradi wa eShark nchini Thailand utatumika kuleta ufahamu kwa kupungua kwa idadi ya papa nchini Thailand. Zaidi ya hayo ili kusaidia kuboresha hifadhi ya ulinzi baharini ya...

Misri katika Harakati za Kujitafutia Makazi

Ni wapi mtu hujisikia kuwa yupo nyumbani? mwanablogu wa Misri Tarek Shalaby atoa maoni yake: Baadhi ya watu wanasema kuwa nyumbani ni pale palipo na kitanda chake, wengine wanadai kuwa nyumbani ni pale unapoweza kupata mtandao huru wa intaneti. naweza kusema kuwa nyumbani ni pale ambapo mishahara yako imehamishiwa.