Habari kuhusu Habari Kuu kutoka Novemba, 2016
Upendo Unashinda Chuki: Kipindi cha Yaliyojiri Wiki Hii Hapa Global Voices
Wiki hii, tunaanzia Marekani ambapo Omar Mohammed anaelezea msemo wake, "Marekani niliyozoea kukupenda" na kisha kukupeleka Cuba, Syria, na Taiwani.
Serikali ya Ethiopia Yamshikilia Mwanablogu wa Zone9 Befeqadu Hailu kwa Kigezo cha ‘Hali ya Hatari’
Hailu alitarifiwa kuwa kukamatwa kwake kulisababishwa na mahojiano aliyoyafanya na Idhaa ya Amerika katika lugha ya Kiamfariki kuhusu hali ya hatari iliyotangazwa nchini Ethiopia.
Wenyeji wa Melbourne Wawakaribisha Wakimbikizi wa Syria kwa Mikono Miwili—na Panzi
"Panzi wetu wanatukumbusha kuwa hata kitendo kidogo kinaweza kuwa na matokeo makubwa."
Duterte ni Nani? Mjadala wa Kina
Amemwita Rais wa Marekani Obama mtoto wa kahaba. Vita yake dhidi ya madawa ya kulevya imeua maelfu ya watu. Lakini huo ni upande mmoja tunapomzungumzia Rais wa Ufilipino Duterte.
Mazungumzo ya GV: Hisia Zetu Siku Sita Kabla ya Uchaguzi wa Marekani
Tukiwa tumebakiza siku sita kabla ya uchaguzi na kabla ya kumalizika kwa minyukano ya kampeni, kila mmoja anaisubiria siku ya uchaguzi kwa bashasha.