Habari kuhusu Habari Kuu kutoka Juni, 2021
Waandishi wa habari wa vita wanaomboleza kuuawa kwa waandishi wa Uhispania nchini Burkina Faso
Mapigano baina ya makundi ya wapiganaji wa jihad yameendelea kuongezeka tangu mapinduzi ya kijeshi yaliyofanyika 2015
Wanawake wawili waliobadilisha jinsia nchini Kamerun wahukumiwa kifungo cha miaka mitano jela kwa ‘kujaribu ushoga’
"Kuna sheria ipi inayoadhibu waliobadili jinsia kuwa wanawake kwa kosa kuvaa sketi fupi?" Hakuna mtu anastahili kifungo kwa kuhisiwa tu bila ushahidi, anasema mwanasheria wa Shakiro na Patricia.
Serikali ya Nijeria yaifungia Twita baada ya mkanganyiko wa twiti ya rais iliyotishia matumizi ya nguvu kufutwa
Watumiaji wa twita nchini Naijeria kutoka kwenye makabila mbalimbali yalitumia majina ya Kiigbo kukuza alama habari ya #IamIgboToo kuonesha mshikamano wao na watu wa kabila la Igbo waliotishiwa na twiti ya Rais Buhari.
Matukio ya unyanyasaji wa kijinsia mtandaoni yaongezeka nchini Kenya
Katika mtandao wa intaneti nchini Kenya uliotawaliwa na wanaume, wanawake mara nyingi huwa walengwa wa matusi