Habari kuhusu Habari Kuu kutoka Februari, 2019
Kijana wa Niger Akwama Uwanja wa Ndege nchini Ethiopia kwa Miezi Kadhaa
"Nimelala kwenye viti, wakati mwingine nimelala msikitini, sijaoga kwa miezi miwili sasa kwa sababu uwanja wa ndege hauna bafu."
Bundi Agoma Kuondoka kwenye Bunge la Tanzania. Maana yake nini?
Bundi alionekana bungeni kuashiria mabadiliko ya sheria yanayolenga kudumaza sauti mbadala nchini Tanzania. Je, inawezekana bundi huyo ni ishara ya kifo cha demokrasia nchini Tanzania?