Habari kuhusu Utawala
Umri Mkubwa, Hotuba Za Chuki Uhuru wa Habari: Ajenda Kuu Katika Uchaguzi wa Rais Nigeria 2019
Katikati ya sintofahamu ya kampeni za uchaguzi wa Naijeria — mitaani na mitandaoni — hapa ni baadhi ya masuala yanayoweza kusahaulika katika uchaguzi wa mwaka huu.
Kwa nini Cuba Iliamua Kuwaondoa Madaktari Wao 8,000 Kutoka Nchini Brazili
Havana ilitangaza kusitisha makubaliano yake na Brazil kufuatilia kauli ya rais mteule Jair Bolsonaro kuhusu mradi ambao unadaiwa "kuwa hatari na unapungua thamani yake".
Je, Felix Tshisekedi Atamaliza Machafuko Katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo?
President Felix Tshisekedi alisema kwamba hatua ya mahakama kuthibitisha ushindi wake ilikuwa ni ushindi kwa nchi yote na aliahidi kujenga taifa la umoja, amani na usalama.
Wafahamu Wagombea wa Kiti cha Urais Naijeria katika Uchaguzi wa 2019
Mpambano wa kuwania Ikulu ya Aso Rock — nafasi ya Urais wa Naijeria. Wafahamu wagombea wa uraisi kwenye kiti cha Rais.
Guinea Inataabika Chini ya Rais Condé Anayeungwa mkono na Urusi Kubadili Katiba Agombee Awamu ya Tatu
"Suala la nani agombee nafasi ya urais ni suala la ndani ya nchi. Na mamlaka ya nchi yako chini ya wananchi. Si kazi ya balozi kuamua mustakabali wa nchi ya Guinea."
Mpambano wa Majenerali Wastaafu wa Jeshi la Naijeria na Mchango wao Katika Uchaguzi wa Rais 2019
Olusegun Obasanjo, mwanajeshi wa zamani aliyepata kuwa mkuu wa na baadae kuwa rais wa kwanza kuchaguliwa kidemokrasia, amekuwa akisikika akiwakosoa watawala wa Naijeria.
Bundi Agoma Kuondoka kwenye Bunge la Tanzania. Maana yake nini?
Bundi alionekana bungeni kuashiria mabadiliko ya sheria yanayolenga kudumaza sauti mbadala nchini Tanzania. Je, inawezekana bundi huyo ni ishara ya kifo cha demokrasia nchini Tanzania?