· Januari, 2012

Habari kuhusu Utawala kutoka Januari, 2012

Singapore: Maoni ya Waziri Yasababisha Tafrani Mtandaoni

  16 Januari 2012

Fahamu kwa nini sentensi hii “Nilipofanya uamuzi…” imezua tafrani mtandaoni nchini Singapore inayotokana na kauli iliyotolewa na waziri mwandamizi wa nchi hiyo. Hiyo ni kufuatia uamuzi wa serikali kupunguza mishahara ya wanasiasa ambao ni kati ya watu wanaolipwa zaidi duniani.